Muonekano wa CRETA ya ngorongoro, creta kubwa na ya kipekee Duniani.
Njoo ujionee usihadithiwe,njoo mwenyewe ujionee,kuna karibu aina zote za wanyama ndani ya kreta hii.
#MAAPEKORONGORO#NGORONGOROCRATER YETU.
Picha hiyo inaonyesha upande mmoja wa CRETA ya ngorongoro
Unaachaje kutembelea sehemu kama hii????njoo Ngorongoro ujionee kwa macho yako, ipo Tanzania,inafikika na gharama ni sawa na Bure.
HAWA ni swala wapo Ngorongoro, ni Ndani ya CRETA ya NGORONGORO.
NJOO TEMBELEA HIFADHI YA NGORONGORO UJUONEE MAMBO HAYA KWA MACHO YAKO.
EMPAKAI CRETA, hii ni creta ya pili kwa ukubwa iliyopo ndani ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Tukisema njoo tembelea Hifadhi hii tunakupenda na tunataman ufaidi urithi huu wa Dunia.
HAO ni ndege aina ya FLAMINGO ndege hawa wanapatukana ndani ya Creta ya Empakai na wamezunguka maji kwa uzuri kabisa kama unavyo waona.
Usiambiwe we tembea NGORONGORO ndo mambo yote.
Kwanini ukubali kuangalia picha tu wakati panafikika?????njoo Ngorongoro hautajutia gharama ndogo utakayo lipa kufika.
#UTALIIWANDANI.
Olmoti Crater (Chanzo cha mto Munge)
Inapatikana kaskazini mwa Ngorongoro,ina urefu wa mita 3,700 kutoka usawa wa bahari, ndio crater ya tatu kwa ukubwa ndani ya ENEO LA HIFADHI YA NGORONGORO.
NI chanzo cha mto mkubwa ambao unamwaga maji yake ndani ya CTETA ya NGORONGORO.
#UTALIIWANDANI
HII ni maporomoko ya maji(waterfall) inayo patikana ndani ya Creta ya Olmoti, ni sehemu nzuri sana pia utawaona BATA mzinga ukitembelea CRETA hii nzuri sana.
#UTALIIWANDANI
No comments:
Post a Comment