Tuesday, July 17, 2018

KARIBU NGORONGORO,KARIBU ESIDAI LODGE AND CAMPING.



























Muonekano wa ESIDAI COMMUNITY LODGE AND CAMPING sehemu maalumu kwa ajili ya kulaza watanzania wanaotembelea Eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Hapa ni sehemu nzuri na rahisi kwa watanzania wanao penda kutembelea hifadhi, IDARA YA UTALII ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na Baraza la Wafugaji Ngorongoro imeamua kutoa kipaumbele kwa watalii wa ndani wanao tembelea hifadhi zetu.
Bei ni sawa na bure kwani ni 30,000 kwa chumba, pia huduma ya chakula inapatikana kwa bei nzuri pamoja na vinywaji.
TEMBELEA NGORONGORO,TUNAKUJALI KWA HUDUMA YA MALAZI NA CHAKULA.


Tuna jali watalii wa ndani,hapa ni sehemu nzuri sana ya kulala na ipo ndani ya Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.Ipo umbali mchache kutoka kwenye kingo ya CRETA YA NGORONGORO.


Muonekano wa Sehemu ya kulia chakula kwa wageni wetu/ watalii wetu wa ndani wanao tembelea NGORONGORO.
Tembelea Mbuga ya Ngorongoro na Ulale sehemu nzuri na safi kabisa kwa bei poa.

Monekano wa ndani ya chumba chetu cha kulala wageni. Ni sehemu tulivu sana kupumzika kabla na Baada ya Kutembelea Hifadhi ya Ngorongoro.

Ndani ya chumba chetu utapata TV,Room Heater, na Taa murua kabisa kwa ajili kukufanya ulale vizuri ukiwa ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro.
#tunakupenda,tunakujali,tunakuthamini wewe mtalii wa ndani utakaetembelea hifadhi zetu.





Wageni wasio wenyeji pia hupendelea kulala Esidai Community Lodge kutokana na huduma zetu kuwa na kiwango bora sawa na Hoteli za Kitalii.













3 comments:

  1. Ashe oleng' asante sana nimefurahi kuona hii bligg japo Mimi ni mwenyeji ila umenifurahisha tu kwa hizi Huduma tutazambaza katika mitandao zingini faida ni zetu zote asante

    ReplyDelete
  2. Ashe oleng' asante sana nimefurahi kuona hii bligg japo Mimi ni mwenyeji ila umenifurahisha tu kwa hizi Huduma tutazambaza katika mitandao zingini faida ni zetu zote asante

    ReplyDelete